DRC: Wabunge kutoridhishwa na hali ya usalama Kivu | Matukio ya Afrika | DW | 05.06.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Wabunge kutoridhishwa na hali ya usalama Kivu

Wabunge wa katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, DRC wakiwemo wale wa upinzani na kutoka chama tawala wameelezea kutoridhishwa kwao na jinsi serikali inavyo simamia machafuko ya Kivu.

Hali ya usalama Kivu si shwari

Hali ya usalama Kivu si shwari

Wabunge hao waliitisha kikao maalumu cha bunge na kuwahoji mawaziri wa ulinzi na usalama kuhusu hali ya kiusalama huko kivu.Baadhi ya wabunge wa Kongo wametishia kuwapigia kura ya kutokuwa na imani na mawaziri hao kutokana na kutoridhishwa na majibu yao kuhusu hali ya usalama Kivu.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada