1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Upinzani Kongo watahadharisha kutumwa jeshi la umoja wa afrika nchini humo

16 Julai 2012

Kufuatia makubaliano kati ya Marais wa Rwanda na DRC mjini Addis Ababa juu ya kikosi kipya cha kimataifa cha kuwasaka waasi wa M23 na wale wa FDLR ,maoni tofauti yameibuka nchini humo juu ya swala hilo.

https://p.dw.com/p/15YJ6
Mkutano wa Umoja wa Afrika wafanyika mjini Addis Abeba,Ethiopia
Mkutano wa Umoja wa Afrika wafanyika mjini Addis Abeba,EthiopiaPicha: dapd

Tayari Upinzani umechukizwa na ujio wa kikosi hicho, Lakini mashirika ya kiraia na makundi ya kutetea haki za binadamu yamepongeza kuweko kwa makubaliano ya Addis-ababa na kutaka utekelezaji wake haraka iwezekanavyo.

Taarifa kamili namwandishi wetu Saleh Mwanamilongo

(kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Saleh Mwanamilongo

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman