DRC: Serikali kuwakinga raia dhidi ya ugonjwa wa Ebola | Matukio ya Afrika | DW | 14.08.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Serikali kuwakinga raia dhidi ya ugonjwa wa Ebola

Serikali ya mkoa wa Kivu ya Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imeweka mikakati ya kuwakinga raia wanaoishi kwenye maeneo ya mpaka na Uganda dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola.

Virusi vya Ebola

Virusi vya Ebola

Mwandishi wetu John Kanyunyu akiwa mjini Goma alizungumza na waziri wa afya kwa serikali ya mkoa wa Kivu ya kaskazini Mutete Mundenga ambaye kwanza alikuwa na haya ya kueleza:-

(Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi/Mahojiano: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada