1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Matokeo ya Ubunge yatangazwa

27 Januari 2012

Muungano wa vyama tawala katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo , uko njiani kujipatia wingi wa viti kufuatia matokeo ya dharura ya uchaguzi wa bunge yaliotangazwa asubuhi ya leo mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/13rrt
Joseph Kabila
Chama cha Rais Joseph Kabila kimepata ushindi mkubwa katika bungePicha: AP Photo

Hata hivyo chama cha raïs Joseph Kabila cha PPRD kimepoteza nusu ya viti kwenye uchaguzi huu ikilinganishwa na uchaguzi wa 2006.Chama cha upinzani cha UDPS cha bwana Etienne Tshisekedi kimeonekana kuwa chama cha pili kwa wingi wa viti bungeni.

Tume ya uchaguzi imependekeza kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo 7 ya uchaguzi kutokana na kasoro na visa vya utumiaji nguvu wakati wa uchaguzi :

Mwandishi wetu mjini Kinshasa Salehe Mwana Milongo anaripoti mkamili

INSERT

Mwandishi: Salehe Wa Milongo

Mhariri: Abdul-Rahman,Mohammed

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi