1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Mahojiano kuhusu hali ya usalama mashariki mwa Kongo

10 Mei 2012

Huko Jamhuri ya demokrasi ya Kongo hali ya usalama bado ni ya kutatanisha katika mkoa wa Kivu ya kaskazini, mashariki ya nchi hiyo, kufuatia mapigano ya mara kwa mara kutoka kwa wanajeshi na waasi nchini humo.

https://p.dw.com/p/14sg9
Wananchi wa mashariki mwa Kongo wahofia usalama wao
Wananchi wa mashariki mwa Kongo wahofia usalama waoPicha: AP

Kwa kufahamu zaidi jinsi hali ilivyo katika eneo hilo Mohammed Abdulrahman ambaye kwa sasa yuko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amezungumza na Mbunge wa jimbo, mheshimiwa Mayombo Omari Bin Fikira. Mwanzo anazungumzia juu ya usalama wa nchi hiyo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Mohammed Abdulrahman

Mhariri Othman Miraji