1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa Kongo

9 Januari 2013

Serikali ya Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo yasubiri utekelezaji wa kusitishwa kwa mapigano huko mashariki ya Kongo.

https://p.dw.com/p/17GLg
Waasi wa M23 watangaza kusitisha mapigano mashariki mwa Kongo
Waasi wa M23 watangaza kusitisha mapigano mashariki mwa KongoPicha: Reuters

Siku moja tu baada ya waasi wa M23 kutangaza kwamba wamesitisha vita kwa upande wao dhidi serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Nayo serikali imesema inasubiri utekelezaji wa hatua hiyo kwa vitendo katika maeneo husika huko mashariki mwa Kongo. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Kampala.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri:Yusuf Saumu