DRC: Kituo maalum cha Ujasusi chaanzishwa Mashariki mwa Kongo | Matukio ya Afrika | DW | 14.06.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Kituo maalum cha Ujasusi chaanzishwa Mashariki mwa Kongo

Katika azma ya kurejesha usalama kwenye nchi za kanda ya maziwa makuu, kumezinduliwa kituo ambacho kitahusika na ukusanyaji habari za kijasusi.

Mji wa Goma, DRC kilipofunguliwa kituo cha Ujasusi

Mji wa Goma, DRC kilipofunguliwa kituo cha Ujasusi

Kituo hicho kilichofunguliwa mjini Goma katika jamhuri ya kidemokrasi ya kongo kitaongozwa na generali Fransisco Bento raia wa Angola, akiwa na manaibu wawili kutoka Uganda na Sudan.

John Kanyunyu na ripoti hiyo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi John Kanyunyu

Mhariri Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada