1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Juhudi za kurejesha amani mashariki mwa Kongo

Serikali ya Marekani imetangaza kuwa, inaunga mkono serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika vita dhidi ya waasi wa kundi la M23 pamoja na juhudi za kurejesha amani katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

Wananchi wa mashariki mwa Kongo wateseka na mapigano

Wananchi wa mashariki mwa Kongo wateseka na mapigano

Hayo yamesemwa na balozi wa Marekani aliye ziarani mkoani Kivu ya Kaskazini mashariki mwa DRC. Na wakati huo huo, ripoti kutoka Bunagana, mji ulio katika mpaka na Uganda zinadokeza, kuwa waasi wa M23 wamevunja bomba linalosamnbaza maji katika mji huo, ulio na wakimbizi wengi.

Mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Goma

(kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri:Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada