1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Hali ya wasiwasi yazuka katika mji wa Goma

Wakati vijiji na miji kadhaa vya mkoa wa Kivu ya kaskkazini ikikumbwa na mapigano yanayoendelea baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23, hali ya wasiwasi imezuka katika mji wa Goma.

Wananchi wa Goma wako katika hali ya wasiwasi

Wananchi wa Goma wako katika hali ya wasiwasi

Wakati huo huo, jeshi la kulinda amani la Umoja wa mataifa nchini Kongo, MONUSCO, limeimarisha vikosi vyake mjini Goma ili kukabiliana na uwezekano wa waasi kuingia mjini humo.

Mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia taarifa ifuatayo kuhusu hali ilivyo mashariki mwa Kongo.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada