1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Hali ya kiutu ya wafungwa na wakimbizi

24 Aprili 2013

Kiongozi wa shirika la kimataifa la msalaba mwekundu, ICRC, Peter Mauerer, amelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kiutu ya wafungwa na wakimbizi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/18LvM
Wakimbizi walioko kwenye kambi ya mji wa Goma
Wakimbizi walioko kwenye kambi ya mji wa GomaPicha: DW

 Akiwa ziarani kwa mara ya kwanza mjini Kinshasa, kiongozi wa shirika la ICRC amesema kuwa kuna umuhimu wa jamii ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuboresha usalama na amani nchini Kongo. Ziara hiyo itampeleka hadi mji wa Goma, jimbo la Kivu ya kaskazini ili kukadiria hali ya wakimbizi wa ndani zaidi la milioni moja. Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Josephat Charo