1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dortmund wakwamishwa na Augsburg

Josephat Charo
28 Februari 2022

Borussia Dortmund wakwama sare maua ugenini Augsburg, Bayern Munich waishinda kwa tabu Eintracht Frankfurt katika Bundesliga. Kocha wa Liverpool Jürgen Klopp awataka wachezaji wake kuandika historia ya kushinda makombe manne ya msimu baada ya kutwaa kombe la ligi katika fainali dhidi ya Chelsea Wembley. Simba walambishwa mchanga pambano la kombe la shirikisho Afrika.

https://p.dw.com/p/47j9J