1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Donald Trump

Mfanyabishara, mtangazaji wa vipindi vya televisheni aliegeuka mwanasiasa, Donald Trump alichaguliwa kuwa rais wa 45 wa Marekani mwaka 2016 kwa kaulimbiu yake ya "Ifanye Marekani kuwa taifa kubwa tena."

Ni watu wachache sana katika historia na utamaduni wa sasa wa Marekani wenye kuigawa jamii kama Trump. Nyota huyo wa TV na mmiliki wa majengo amejenga himaya inayokadiriwa kuwa na thamani ya mabilioni. Akiwa hana uzoefu wowote wa uongozi wa serikalini, Trump alipambana na Hillary Clinton katika uchaguzi wa rais 2016 na kumshinda. Hotuba zake za mikwaruzo na mfumo wake wa utatanishi vimemzolea sifa na ukosoaji.

Onesha makala zaidi