Dk. Mvungi azungumzia mwenendo wa uchaguzi
13 Oktoba 2010Matangazo
Katika kutaka kufahamu jinsi vyama vya kisiasa vinavyoendelea na harakati hizo za kampeni Grace Kabogo alizungumza na Dk. Edmund Sengondo Mvungi, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ambaye alianza kuelezea mchakato mzima wa kampeni za chama hicho.
Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Dr. Sengondo Mvungi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman