1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DJIBOUTI.Rais wa zamani amefariki

22 Novemba 2006
https://p.dw.com/p/CCqO

Rais wa zamani wa Djibouti Hassan Gouled Aptidon amefariki.

Aptidon ndie rais wa kwanza kuiongoza Djibouti tangu inyakuwe uhuru wake kutoka kwa Ufaransa mwaka 1977.

Rais Ismail Omar Gulleh ametangaza siku tatu za maombolezo ya kifo cha kiongozi huyo wa zamani wa Djibouti.

Rais wa zamani Hassan Gouled Aptidon alikuwa na umri wa takriban miaka 90.