1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dira ya 2063 ya maendeleo endelevu Afrika mashakani

Mohammed Khelef7 Desemba 2016

Wataalam wa masuala ya maendeleo kutoka nchi za kusini na mashariki mwa Afrika wana wasiwasi ikiwa bara hilo linaweza kufikia maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2063 kutokana na kulemewa na changamoto nyingi zikiwemo za kiuchumi kisiasa, usalama wa nishati pamoja na usalama wa chakula.

https://p.dw.com/p/2Tsmx