Dini – Kipindi 08 – Kupata rafiki, kupoteza rafiki
12 Aprili 2011
Hassan anaendelea vyema – na sio tu kimatibabu. Kwa bahati mbaya, kuna maendeleo yasiyoridhisha, kutokana na kitendo chake. Wakati huo huo, shuleni mjadala wa kusisimua unafanyika, huku mtego ukiwekwa.