Dini – Kipindi 03 – Kuanza Mjadala12.04.201112 Aprili 2011Je kuwa msichana muislamu na kiongozi au mwanamichezo vinalingana? Na je uhasama wa zamani kati ya familia – pia kwa utamaduni – ni muhimu kuuendeleza? Nini maana ya kuwa kiongozi mzuri? Basi tujadiliane!https://p.dw.com/p/RHJoMatangazo