1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dindéfelo:Kijiji cha mbuga ya asili Senegal

9 Desemba 2016

Katika juhudi za kuyalinda mazingira na kuwalinda aina ya viumbe wanaokabiliwa na kitisho cha kutoweka, wakazi wa Dindéfelo nchini Senegal wamekubali mbuga ya asili kuanzishwa kijijini kwao na kufanya kampeni ya kutokomeza taka za plastiki.

https://p.dw.com/p/2TzoL