Mitandao ya kijamii inasemekana kuwa inavunja mahusiano ya kijamii kwa kuwatenganisha watumiaji wake na ulimwengu halisi wanaoishi, lakini kwenye mazungumzo haya na Mohammed Khelef, mtaalamu wa mawasiliano ya mitandao ya kijamii, Suleiman Shaaban, anasema mitandao hii haivunji mahusiano bali inayaimarisha zaidi.