1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dana Dana za Bundesliga na Josephat Charo na Saumu Njama

Josephat Charo
26 Februari 2024

Kocha Thomas Tuchel ameshinda mechi yake ya kwanza na timu yake ya Bayern Munich tangu ilipotangazwa ataondoka mwishoni mwa msimu. Je hii ina maana gani kwa kikosi cha Bayern na muelekeo wa ligi kwa mechi zilizosalia msimu huu? Borussia Dortmund wapoteza tena nyumbani dhidi ya TSG Hoffenheim. Stuttgart wakwamishwa na Cologne nyumbani.

https://p.dw.com/p/4cuFg