1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DAMASCUS. Uchaguzi wa bunge wafanyika leo nchini Syria

22 Aprili 2007
https://p.dw.com/p/CC8E

Wananchi milioni 12 wa Syria leo wanapiga kura katika uchaguzi wa bunge.

Lakini vyama vya upinzani vimesema vitasusia uchaguzi huo ambao ni wa pili kufanyika tokea rais Bashar al Assad aanze kushika madaraka nchini Syria mwaka wa 2000.