Kufuatia mashambulizi ya mjini Paris yaliyoua watu 129, nchi kadhaa barani Ulaya mchana huu zitakuwa na dakika moja ya ukimya kuwakumbuka waliouawa katika mashambulizi hayo.
https://p.dw.com/p/1H6Uh
Matangazo
Nchini Ufaransa na miji mengine kadhaa barani Ulaya kumetangazwa dakika moja ya ukimya mchana huu. Kuwakumbuka na kuonyesha heshima kwa marehemu wa mashambulizi ya Paris