1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF haitambui tangazo la gazeti la SMZ kufuta uchaguzi

Sudi Mnette/M M T12 Novemba 2015

Kumetolewa kanuni rasmi Zanzibar inayosema serikali imefuta rasmi uchaguzi uliofanyika mwezi Oktoba 25 . Tangazo hilo limekuja wakati yakifanyika majadiliano ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa visiwani humo. Naibu Katibu Mkuu wa CUF Nassor Ahmed Mazrui anaeleza walivyoipokea taarifa hiyo.

https://p.dw.com/p/1H4Pj