COTABATO: Watu sita wauwawa katika shambulio la bomu | Habari za Ulimwengu | DW | 11.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

COTABATO: Watu sita wauwawa katika shambulio la bomu

Maofisa wa serikali nchini Ufilipino wamesema bomu la tatu limeripuka kusini mwa nchi hiyo mapema leo. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika kisa hicho.

Hapo jana waatu wanaotuhumiwa kuwa wanamgambo wa kundi la Al Qaeda walifanya shambulio la bomu lililowaua watu sita kwenye sherehe.

Bomu la nne lililogunduliwa katika eneo hilo limetenguliwa. Kufikia sasa hakuna kundi lolote lilitangaza kuhusika na mashambulio hayo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com