1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Congo na Hatma yake.

Lilian Mtono
8 Januari 2018

Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimsingi unatarajiwa kufanyika Disemba mwaka huu. Lakini pamoja na uchaguzi huo kuitishwa, bado kuna hali ya wasiwasi na mvutano kati ya muungano wa vyama vya upinzani na vile vinavyomuunga mkono rais Joseph Kabila. Kipindi cha maoni leo hii kinaijadili Congo na kule inakoelekea.

https://p.dw.com/p/2qULp