Chuo Kikuu Dar es Salaam chaandaa kongamano la kumkumbuka Hayati Mwalimu Nyerere | Masuala ya Jamii | DW | 14.10.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Chuo Kikuu Dar es Salaam chaandaa kongamano la kumkumbuka Hayati Mwalimu Nyerere

Nchini Tanzania, imetimia miaka 12 tangu afariki Baba wa taifa hilo, Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Raia wengi wa kawaida wanamkumbuka kiongozi huyo kwa mengi muhimu kisiasa hasa imani yake ya usawa katika jamii.

default

Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Nyerere

Ili kuipa uzito kumbukumbu hii, kongamano maalum linafanyika katika chuo kikuu cha Dar es salaam ili kuijadili hali ya kisiasa nchini humo. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu George Njogopa aliyehudhuria kongamano hilo.

Mwandishi: Njogopa, George( HON)

Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 14.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12rta
 • Tarehe 14.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12rta