1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chuo Kikuu cha Garissa chafunguliwa tena

Caro Robi4 Januari 2016

Chuo Kikuu cha Garissa kaskazini mwa Kenya kilichoshambuliwa na waasi wa kundi la al-Shabaab mwezi Aprili mwaka uliopita kimefunguliwa tena leo. Ahmed Osman Warfa ni mkuu wa Chuo Kikuu hicho na anaelezea hatua za kiusalama zilizowekwa kuweza kuhakikisha usalama wa wanafunzi wanaorejea masomoni.

https://p.dw.com/p/1HXoN