1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanzo cha machafuko yaliotokea Matadi jimbo la Bakongo

13 Machi 2007

Tume ya wabunge 15 wa Kongo iko mjini Matadi katika jimbo la Bakongo,kuchunguza chanzo cha machafuko yaliyotokea mwezi mmoja uliopita ambapo watu kiasi 88 waliuwawa kwa mujibu wa taarifa ya serikali.

https://p.dw.com/p/CHIJ
Wakimbizi nchini Kongo
Wakimbizi nchini KongoPicha: AP
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo alikuwepo mjini Matadi na ametuandalia ripoti ifuatayo.