1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za uzalishaji chakula Uganda

John Juma
24 Oktoba 2017

Kwa muda mrefu Uganda imejulikana kama kapu la chakula kwa Afrika. Lakini sasa inakumbwa na changamoto ya kuwalisha wakimbizi wengi. Je sera yake ya kuwapa wakimbizi ardhi ya kulima, itaisaidia kuinua viwango vyake vya uzalishaji wa chakula?

https://p.dw.com/p/2mQSr