1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto kwa Trump zaongezeka

Mohammed Abdulrahman Mohammed4 Aprili 2017

Mohammed Abdulrahman anakukaribisha katika kipindi cha Maoni, mada ikiwa Rais Donald Trump wa Marekani na changamoto zinazozidi kumkabili. Washiriki ni Profesa Nicholas Boaz kutoka Washington, mwanasheria na mchambuzi Gordian Muikiri kutoka London na Abdulfatah Mussa kutoka Tehran.

https://p.dw.com/p/2aeIv