Chama tawala Burundi kuwashtaki Wabelgiji | Matukio ya Afrika | DW | 20.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Chama tawala Burundi kuwashtaki Wabelgiji

Chama cha Cndd Fdd kinataka kuwafikisha mahakamani Wabelgiji kwa madhila waliofanya tangu wakati wa ukoloni. Wakati huo huo Wabelgiji waishio Burundi wametakiwa na wizara ya mambo ya kigeni ya Ubelgiji kuondoka.

Sikiliza sauti 02:44

Sikiliza ripoti ya Amida Issa kutoka Burundi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada