Chama kipya chaundwa nchini Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 28.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Chama kipya chaundwa nchini Tanzania

Nchini Tanzania kumeundwa chama kipya cha kisiasa kwa jina la Alliance for Democratic change ADC. Kuundwa kwa chama hicho kunafuatia tangazo la kujitoa kwa wahusika kutoka chama cha upinzani CUF.

Chama kipya cha ADC chaundwa nchini Tanzania

Chama kipya cha ADC chaundwa nchini Tanzania

ADC Inaongozwa na Said Miraji aliyewahi kushika nyadhifa mbali mbali katika CUF ikiwa ni pamoja na kuwa Katibu wa Katibu mkuu ,Mkurugenzi wa Vijana wa taifa na pia Mkurugenzi wa kamati ya Ulinzi ya taifa ya chama hicho. Mohammed Abdulrahman amezungumza na Bw.Said Miraji akiwa Dar es salaam na kwanza alielezea madhumuni ya kuunda ADC.

(Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Mohammed Abdul-Rahman

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada