Baada ya siku nyingi za kubahatisha na kufikiria kuhusu chama cha kisiasa kitakachotumiwa na rais Kibaki wa Kenya kwenye kampeno yake ya uchaguzi wa rais mwezi Desemba mwaka huu, hatimaye rais huyo ametangaza rasmi hadharani kwamba anakusudia kutumia chama kipya cha muungano wa zaidi ya vyama 16 vya kisiasa kwa jina la Party of National Unity, PNU.
https://p.dw.com/p/CH89
Matangazo
Hata hivyo,Rais Kibaki amesema kuwa kila chama kitakuwa huru kuwachagua wabunge wake na madiwani.