1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Burundi: Mwandishi wa Habari ahukumiwa kifungo cha maisha

Nchini Burundi Mwandishi habari Hassan Ruvakuki wa kituo kimoja cha radio binafsi amehukumiwa kifungo cha maisha jela, kwa tuhuma za kushirikiana na makundi ya ugaidi.

Kifungo cha maisha chamsubiri Hassan Ruvakukia

Kifungo cha maisha chamsubiri Hassan Ruvakuki

Wakili wake amesema atakata rufaa, huku mashirika ya wanahabari yakisema kupokea hukumu hiyo kwa uchungu mkubwa.

Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Burundi na ripoti kamili.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Amida Issa

Mahariri:Mohammed Abdul-rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada