1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burudika kwa kipindi cha 'Karibuni'

5 Januari 2018

Leo msikilize msanii anayekuja kwa kasi katika mtindo wa muziki wa singeli, vile vile utamsikia msikilizaji wa mwezi wa DW Kiswahili na bila kusahau sehemu maalum ya je umeipata hiyo! Yote hayo ni katika kipindi murua cha karibuni.

https://p.dw.com/p/2qOvv