1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Ulaya lazindua kitabu cha ushirikishi wenye ulemavu

John Juma7 Desemba 2016

Bunge la Ulaya linazinduwa kitabu kinachotoa wito wa kuhakikisha watu wenye ulemavu wanajumuishwa na kushirikishwa kikamilifu katika serikali na jamii kwa jumla bila ya ubaguzi au kutengwa kwa namna yoyote, kikiwa na picha cha Bi Jemima Kutata kutoka Kenya kama alama ya namna ambavyo watu wanaoishi na ulemavu wanavyoweza kuwa sehemu muhimu ya jamii.

https://p.dw.com/p/2TsmX