1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunduki bado ni kitisho Afrika

Anaclet Rwegayura/Mohammed Abdulrahman Mohammed13 Februari 2017

Miongo saba baada ya kung’olewa ukoloni, milio ya bunduki kubwa bado yasikika katika eneo kubwa la Afrika. Bunduki bado ni tatizo kwa usalama barani hilo. Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) zimesisitiza nia ya kukomesha matumizi ya bunduki ambazo hutishia amani na kuvuruga maendeleo ya bara hilo, lakini muda uliowekwa kukamilisha jukumu hili umewashtua watu wengi.

https://p.dw.com/p/2XS53