BUENOS AIRES: Uchaguzi wa rais wafanyika leo | Habari za Ulimwengu | DW | 28.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BUENOS AIRES: Uchaguzi wa rais wafanyika leo

Raia wa Argentina wanapiga kura hii leo kumchagua rais wao mpya huku mke wa rais wa nchi hiyo akitarajiwa kushinda.

Cristina Fernandez de Kirchner, ana nafasi kubwa ya kuchaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa Argentina.

Rais anayeondoka madarakani, Nestor Kirchner, anang´atuka baada ya kuitawala Argentina kwa awamu moja ya miaka minne.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com