BUENOS AIRES: Mwanamke kuongoza nchini Argentina | Habari za Ulimwengu | DW | 29.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BUENOS AIRES: Mwanamke kuongoza nchini Argentina

Argentina,kwa mara ya kwanza imemchagua mwanamke kushika wadhifa wa juu serikalini.Baada ya kuhesabiwa kwa zaidi ya asilimia 80 ya kura,Bibi Cristina Fernandez de Kirchner alie na umri wa miaka 54 amejisombea asilimia 44 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wa siku ya Jumapili. Yeye ni mke wa rais anaeondoka madarakani,Nestor Kirchner.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com