BUDAPEST: Nyota wa kandanda wa zamani, Ferenc Puskas afariki dunia | Habari za Ulimwengu | DW | 18.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BUDAPEST: Nyota wa kandanda wa zamani, Ferenc Puskas afariki dunia

Mwanasoka mashuhuri wa zamani kutoka Hungary, Ferenc Puskas, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79. Puskas, ameiaga dunia katika hospitali ya mjini Budapest alipokuwa akilazwa kwa magonjwa ya homa na mapafu. Puskas, alikuwa na hoda wa timu ya kandanda ya taifa ya Hungary ambayo haikuwahi kushindwa katika michezo 32 mfululizo kabla ya kupoteza mbele ya Ujerumani katika fainali za kuuwania kombe la soka la dunia la mwaka 1954.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com