1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Bongo movie na filamu za kigeni, zipi bora?

ANUARY MKAMA9 Mei 2017

Wasanii nchini Tanzania hivi karibuni waliandamana kupinga uuzwaji wa filamu kutoka nje, wakidai zinaharibu soko la ndani. Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiahidi kushughulikia suala hilo. Anuary Mkama anajadili na vijana wa Dar es Salaam kuhusu hatua hiyo na iwapo itasaidia.

https://p.dw.com/p/2cfZS