BISHKEK: Issabekov ajiuzulu kuhifadhi utulivu Kyrgyzstan | Habari za Ulimwengu | DW | 29.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BISHKEK: Issabekov ajiuzulu kuhifadhi utulivu Kyrgyzstan

Waziri mkuu wa Kyrgyzstan Asim Issabekow amejiuzulu.Amesema amechukua hatua hiyo kuhifadhi hali ya utulivu nchini humo.Msemaji wa serikali katika mji mkuu Bishkek amesema,Rais Kurmanbek Bakiyev amemteua kiongozi wa upinzani Almas Atambayew kuiongoza serikali kwa muda.Issabekow alishika madaraka mwisho wa mwezi Januari,baada ya bunge kushindwa kumrejesha madarakani kiongozi wa zamani Felix Kulow.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com