Kwa miaka saba, mgogoro wa kulikabili kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Kaskazini mashariki mwa Nigeria unapamba moto. Hali inapozidi kuwa mbaya, wakulima katika eneo hilo wanalazimika kuyakimbia mashamba yao.
Tuma Facebook Twitter Google+ Whatsapp Tumblr Digg Newsvine
Kiungo http://p.dw.com/p/2m40f
Mnamo tarehe 14, Aprili, 2014, waasi wa kundi la Boko Haram waliishambulia shule ya wasichana ya Chibok iliyoko katika jimbo la Borno na kuwateka nyara wasichana 276.
Kundi la wanamgambo la Boko Haram limewarejesha nyumbani karibu wasichana wote 110, waliotekwa kutoka shule yao ya bweni Nigeria mwezi mmoja uliopita na kutoa onyo kali kwa wazazi kutowapeleka tena watoto shuleni.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto UNICEF limesema zaidi ya watoto 1,000 wametekwa nyara na makundi ya itikadi kali katika kipindi cha kuanzia mwaka 2013.
Magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya Rais wa Nigeria kuwania muhula wa pili. Kufikishwa mahakamani kwa rais Zuma na juu ya jeshi la Ujerumani kutoa mafunzo ya kijeshi nchini Mali na nchi zingine za eneo la Sahel.