Bibi Charity Ngilu kuwania nafasi ya Urais nchini Kenya
5 Machi 2007
Nchini Kenya msukosuko umeanza kuikabili serikali ya Rais Mwai Kibaki baada ya waziri wa Afya Bibi. Charity Ngilu kumkosoa hadharani na kutangaza nia yake ya kuwania nafasi ya urais.
https://p.dw.com/p/CB5Q
Matangazo
Hii ni mara ya pili Bibi Ngilu anatangaza hilo. Kutoka Nairobi mwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti zaidi.