BERLIN:Polisi ya Ujerumani kuchunguza vifo vya wandishi habari wa DW. | Habari za Ulimwengu | DW | 12.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN:Polisi ya Ujerumani kuchunguza vifo vya wandishi habari wa DW.

Polisi ya Ujerumani imepeleka wataalamu nchini Afghanistan watakaochunguza vifo vya wandishi habari wawili wa radio DW waliouawa kwa kupigwa risasi mwishoni mwa wiki iiyopita.

Maafisa hao wa polisi ya Ujerumani watashirikiana na idara za Afghanistan katika kufanya uchunguzi huo.

Wandishi hao wawili walikutwa wameuawa wakiwa na majeraha ya risasi ndani ya hema lao.

Hadi sasa hakuna habari zozote juu ya mauji hayo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com