Berlin:Filamu ya Kichina, NDOA YA TUYA, inayoelezea mwanamke wa Mongolia aliye mfugaji wa wanyama pamoja na waume wake wawili imetunukiwa zawadi ya dhahabu kuwa ni filamu bora kabisa katika monyesho ya 57 ya filamu ya mjini Berlin. | Habari za Ulimwengu | DW | 18.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Berlin:Filamu ya Kichina, NDOA YA TUYA, inayoelezea mwanamke wa Mongolia aliye mfugaji wa wanyama pamoja na waume wake wawili imetunukiwa zawadi ya dhahabu kuwa ni filamu bora kabisa katika monyesho ya 57 ya filamu ya mjini Berlin.

Nishani ya fedha kwa mchezaji sinema wa kike aliye bora kabisa alipewa Nina Hoss aliyekuwemo katika filamu ya Kijerumani, YELLA, na ambayo iliongozwa na Christian Petzold. Mchezaji sinema wa kutoka Argentina, Julio Chavez, alitunukiwa nishani ya fedha kwa mchango wake katika filamu ya jnina la El Otro.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com