1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Benki Kuu ya Dunia kutoa msaada wa ukarabati wa Barabara nchini DRC

Barabara muhimu kwenye majimbo ya Orientale,Kivu na Katanga mashariki mwa DRC zitakarabatiwa kutokana na msaada wa dola milioni 110 unaotolewa na benki kuu ya dunia na serikali ya Uingereza.

default

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupatiwa msaada wa ukarabati wa Barabara

Huo ni msaada wa kwanza kutolewa kwa DRC na Benki kuu ya dunia baada ya shirika hilo na lile la IMF kuitaka serikali ya Kongo kufafanua aina ya mkopo wake wa dola bilioni tisa kwa CHINA.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo. • Tarehe 05.08.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Eqtz
 • Tarehe 05.08.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Eqtz