BENGUELA: Zoezi la kuandikisha wapigakura larefushwa | Habari za Ulimwengu | DW | 22.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BENGUELA: Zoezi la kuandikisha wapigakura larefushwa

Maafisa nchini Angola,wameamua kurefusha kwa miezi mitatu mingine zoezi la kuandikisha wapiga kura kwa chaguzi zijazo nchini humo.Uchaguzi wa rais,umepangwa kufanywa mwaka 2008 na mwaka mmoja baadae wapiga kura watachagua bunge jipya katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta.Uchaguzi huo wa kihostoria utaanzisha enzi mpya ya kidemokrasia,kwa kuruhusu zaidi ya chama kimoja cha kisiasa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com