Bayajida - baba wa kabila la Hausa | Mada zote | DW | 08.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Bayajida - baba wa kabila la Hausa

Bayajida anaonekana kama baba wa watu wa kabila la Hausa. Na kwa mujibu wa maelezo ya utamaduni na jadi katika eneo hilo, alikuwa ni Mwarabu aliyeunda maskani yake kaskazini mwa Nigeria.

Tazama vidio 01:35