1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza la Mawaziri lavunjwa Comoro

18 Julai 2017

Rais Azali Assoumani amechukua hatua hiyo ikiwa ni mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi mkuu kwenye visiwa hivyo. Amewaondoa mawaziri wote wa chama cha JUA kilichounda serikali ya mseto pamoja na chama chake CRC.

https://p.dw.com/p/2gi9w
Rais wa Comoro Azali Assoumani
Picha: Getty Images/AFP/I. Youssouf

Hatua hii, pamoja na masuala mengine, inatajwa kuwa inalenga kurahisisha mkakati wa rais wa kubadilisha katiba ya visiwa hivyo. DW imezungumza na mwandishi wa habari aliyeko Comoro, Aboubakar Omar, ambaye ameanza kuzungumzia sababu hasa za kufikiwa kwa hatua hii.